Está en la página 1de 3

RATIBA YA MAOMBI YA MNYORORO PWT KIGAMBONI KWA AJILI YA IBADA YA TAR14/04/2024

KUANZIA TAREHE 02/04/2024 HADI 05/04/2024

TAREHE PRAYER POINTS GROUPS

02/04/2024 1. KUOMBA Tuuombe Mungu kwa ajili yetu, tuwe GROUP ONE
NGUVU ZA na spirit ya roho mtakatifu Kwa kila
Juma nne MUNGU KWA MTU BINAFSI 01. DICKSON MSIGWA (kiongozi)
KILA MTU 02. JENYSTER KISWABI
BINAFSI Maana MUNGU anatazama MIOYO na
( KUFANYWA sio wingi wa watu.( Population) 03. JOSEPHAT JOHANSEN
UPYA) .pia tuombe kila mwana praise awe na 04 HAPPYNESS MSHANA
2. MUNGU shauku kubwa ya Kumtumikia MUNGU,
tukizipinga kila Roho zote za hofu mtu 05. JOHN LUBANGO
ATUPE
UNYENYEKEVU kuona kuwa sitaweza kufika kwa ajili ya
06. LUGANO
NDANI YETU. kitu fulanii..
07. FLAVIAN
3.KUOMBA Tunahitaji neema ya MUNGU iendelee
SHAUKU YA kuwa nasi maana hatujakombolewa 08. BENSON
KUMTUMIKIA Kwa vipawa vyetu Bali Ni neema ya
MUNGU mwenyewe. 09. DANNY ( Drumz)
MUNGU
10. GLORY

03/04/2024 1. UCHUMI Tumuombe MUNGU milango ya fedha GROUP TWO

Juma tano •tunahitaji kupata vyombo Bila pesa 01. BENAZIL MODESTA (Kiongozi)
hatutaweza
02. DANIEL MSIGWA
• watu wanaandaa sare MUNGU
afanye wepesi Kwa kila mtu 03. VICTORIA MABUGO

SHETANI asipate nafasi ya 04. STEVEN MALILO


kutukwamisha katika secta hii MUNGU 05. EMMANUEL NGALO
akatusaidie.
06. JOYCE NYALULI
Zaburi 24:1[1]Nchi na vyote viijazavyo
ni mali ya BWANA, Dunia na wote 07 INNOCENT
wakaao ndani yake 08. YONA

Luka10:02 09. OBED

2. MUNGU [2]Akawaambia, Mavuno ni mengi,


AACHILIE lakini watenda kazi ni wachache; basi
UTAYARI WA mwombeni Bwana wa mavuno apeleke
WATU KUFIKA watenda kazi katika mavuno yake.
KATIKA IBADA

04/04/2024 1. NGUVU ZA Matamanio yetu, nguvu za MUNGU GROUP THREE


MUNGU KATIKA zikajidhirishe katika ibada hii watu
Alhamisi IBADA. wakakamuone MUNGU katika ibada 01. STEPHEN SAFARI (kiongozi)
hii. Tumelibeba jina la Yesu kupitia Hilo 02. BELLA
ishara na maajabu hutokea.
03. GLORY SIMON
Matendo ya Mitume 16
2. MUNGU 04. SILAS SILKA
18 Akafanya hayo siku nyingi. Lakini
AKUTANE NA Paulo akasikitika, akageuka 05. KALEBU
WATU akamwambia yule pepo, Nakuamuru
06. EUNICE MAZIGE
kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu.
Akamtoka saa ile ile. 07. LISA KWEKA
•MUNGU anatazama moyo ulio 08. ALEX
pondeka na kunyenyekea mbele zake.
Na yeye huihudumia mioyo hiyo na 09. FORTYPERRY
kuipandisha juu

05/04/2024 SHUKRANI. Tutahitimisha Kwa kumshukuru GROUP FOUR


MUNGU Kwa siku zote ambazo
Ijumaa tumekuwa na maombi haya tukiamini 01. JACKSON THOMAS (Kiongozi)
Kwa tuliyokwisha kuomba tayari 02. VICTORIA ( Spoken words)
ametenda katika jina la YESU
03. JONIA KATUNZU
Zaburi 95:2-3
04. AMAN JAVEN
2 Tuje mbele zake kwa shukrani,
Tumfanyie shangwe kwa zaburi. 05. STELLAH

3 Kwa kuwa Bwana ni Mungu mkuu, Na 06. SYLVESTER


Mfalme mkuu juu ya miungu yote.
07. ESTHER

08. GIDION
09. BRIAN

10. DAVID (Drumz)

*Zaburi 91:14*

14.Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu.

MAELEKEZO

Bwana YESU asifiwe watu wa MUNGU Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri. Katika maombi haya kila
group litakuwa na siku yake. Hivyo kiongozi wa group kama ilivyo Pangea anaombwa kuhamasisha
maombi haya na kuweka ratiba ya namna ya kukutana Kwa ajili ya kuomba

Note: tujitahidi kukutana ili kuomba Kwa pamoja kulingana na utaratibu mlioweka

* Maombi haya yata ambatana na sadaka ya shukrani, tutaitoa katika ibada ya jumapili.

Zaburi 69

30 Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, Nami nitamtukuza kwa shukrani.

Kiongozi wa maombi PWT mbarikiee Sana .

También podría gustarte