Documentos de Académico
Documentos de Profesional
Documentos de Cultura
Mchungaji, magazeti
wanachochea ugaidi
Sauti ya Waislamu
ISSN 0856 - 3861 Na. 1166 JAMADIUL AWWAL 1436, IJUMAA , FEBRUARI 27-MACHI 5, 2015 BEI TShs 800/=, Kshs 50/=
Uk.6
Major-General Chris
Olukolade.
UGWU Lawrence.
Tahariri/Maoni
AN-NUUR
anachozungumza Ustaz
Yusuf, sio Uislamu.
Hata hivyo, kila walivyo
jitahidi kutoa tahadhari,
ndivyo Yusuf, alivyozidi
k u p a m b wa n a wa k a t i
huo kukiwa na kila dalili
kuwa harakati za Yusuf,
zinaelekea kuleta balaa
la machafuko katika
nchi. Lakini wakati huo
huo, Ustaz Yusuf, akizidi
kungara kimaisha. Akiishi
katika nyumba nzuri na
k u e n d e s h a m a g a r i ya
kifahari, watoto wake
wakisoma Ulaya, tofauti na
alivyokuwa huko nyuma.
Na hata ikitokea polisi
katika kutekeleza wajibu
wao wakimkamata Ustaz
Yusuf, hutokea baadhi
ya wanasiasa kumkingia
kifua, na hata kumtoa
rumande anapokamatwa.
Mmoja katika wanasiasa
waliotajwa sana ni Jerry
Gana. Huyu aliwahi kuwa
Waziri wa Habari 2001
mpaka 2003 na sasa ni
katika kamati ya uchaguzi
ya Rais Goodluck Jonathan.
Baada ya kufikia hatua
kwamba washapatikana
vijana wa kutosha
na waliojazwa jazba
za kufanya lolote
watakaloelekezwa na Ustaz
wao, ikibidi hata kuchinja
kafiri, Ustaz Mohamed
Yusuf akakamatwa
na wale wanasiasa
wa l i o k u wa wa k i m t o a
rumande kila alipokuwa
akikamatwa na polisi,
safari hii, walitoweka. Kila
alivyompigia simu Jerry,
hakuweza kupatikana.
Baada ya Ustaz
kuhojiwa, aliuliwa kikatili
huku ukichukuliwa
mkanda wa video. Habari
hizo zikasambazwa katika
vyombo vya habari na
katika mitandao.
Kusambaa kwa picha
hizo za mauwaji ya
Ustaz, ikazuka balaa.
Vijana, wanaharaki, watu
wa mzaha wa Jihad,
wakaingia mitaani. Polisi
na vyombo vya usalama
navyo vikaingia kazini.
We n g i wa k a k a m a t wa .
Leo ukimtaka mfuasi wa
Ustaz Mohamed Yusuf,
AN-NUUR
3
Na Bakari Mwakangwale
I M E E L E Z WA k u w a
kuna wasiwasi huenda
serikali na maaskofu
wanashirikiana
k u k wa m i s h a h a k i z a
Waislamu.
Hiyo ni kutokana na
ukweli kwamba mara zote
Waislamu wanapodai yale
wanayoamini kuwa ni
haki yao, wanaosimama
kupinga ni maaskofu na
mara zote serikali imekuwa
ikiwasikiliza na kupuuza
yale ya Waislamu.
Na hiyo hutokea hata pale
ambapo serikali yenyewe
ishatangaza kuridhia
madai ya Waislamu.
Hayo yameelezwa na
Amiri wa Baraza Kuu
la Jumuiya na Taasisi
za Kiislamu nchini,
Alhaj Mussa Kundecha,
akiwahutubia Waislamu
katika Kongamano
lililofanyika Jumapili ya
wiki iliyopita katika Msikiti
wa Tungi, Temeke Jijini Dar
es Salaam.
Kundecha amesema,
Serikali ni sawa na refa
kiwanjani hivyo anatakiwa
k u s i m a m i a h a k i k wa
pande zote kinyume chake
anaweza kuvuruga amani
ndani ya uwanja na nje
kwa mashabiki wa pande
hizo mbili.
Tu n a i t a k a S e r i k a l i
iwakemee Maaskofu na
ichukue hatua madhubuti
kwa mwenendo wao huo,
Habari
AN-NUUR
ya Maaskofu kuwaingilia
n d u g u z a o Wa i s l a m u
wanapodai haki zao ili
kuepusha kuvunjika kwa
upendo na mshikano baina
ya pande hizo mbili za dini.
Katika susla hili, Baraza
hilo ndio lingesimama
katika haki kwa kuwaunga
mkono kwa kuwa wenzao
wanahitaji haki yao kiimani
kwa kufanya hivyo ni wazi
ingekuwa imeonyesha
upendo na mshikamano,
lakini sio kuandaa mechi
ya mpira kisha unasema
huu ni urafiki, upendo na
mshikamano katika kuleta
amani na nchini.
Lakini wanaandaa
m e c h i wa n a c h e z a n a
kupeana mikono siku ya
pili Maaskofu wanaita
waandishi wa habari kisha
wa n a p i n g a Wa i s l a m u
kupata haki zako, sasa
huu ni urafiki au unafiki
na upendo wa namna
gani.Alisema huku akihoji
Alhaj Kundecha.
Alhaj Kundecha, alisema
kutokana na hali ilivyo
sasa Serikali isimamie
wajibu wake na iwakemee
Wakristo kuingilia mambo
ya Wa i s l a m u a m b a y o
hayahusu jambo ambalo
kama si subira ya Waislamu
inaweza kuleta hali ya
hatari humu nchini.
Alisema, Serikali yenye
busara huwa inaangalia
hali za raia wake na mahitaji
yao, na jitihada zake siku
zote iwe ni kukidhi haja za
raia wake ili itawale kwa
urahisi.
wa Waislamu watupu
walioshikamana na dini
yao ambapo ikifika muda
wa swala, wanaume wote
wanakuwa Msikitini.
Kutokana na hali
hiyo, inaelezwa kuwa
washambuliaji walifahamu
kuwa kila atakayeuliwa ni
Muislamu na kila nyumba
itakayochomwa moto ni ya
Muislamu.
Many inhabitants
had already gone to pray
when gunshots rang out on
Saturday, 3 January. The first
raid started at about 05:45
local time (04:45 GMT), just
before dawn.
Anasimulia manusura
m m o j a wa t u k i o h i l o
Haruna Muhamad akisema
kuwa walivamiwa alfajiri
wakiwa tayari msikitini
na kuongeza kuwa japo
walikutwa Msikini wakiwa
hawana silaha, waliweza
kukimbia na kuokota
silaha walizoweza kupata
yakiwemo mapanga na
visu, wakaweza kuwatimua
washambuliaji.
Haruna akiongea
na mwandihi wa BBC
Thomas Fessy (West Africa
correspondent), anasema
kuwa baada ya wavamizi
kukimbia, wananchi
walitoa taarifa katika
kambi ya jeshi Baga, iliyo
jirani.
Anasema, kambini hapo
makamanda walioongea
n a o wa l i wa f a h a m i s h a
kuwa, waliowashambulia
ni Boko Haram.
Hata hivyo, taarifa
zaidi zinasema kuwa,
badala ya kupata msaada
kutoka kambi hiyo, ndio
mara wakakuta kundi
kubwa zaidi la wavamizi
wakiwemo wenye sare za
jeshi wakirudi na kuanza
kuuwa watu.
Wengi walikuwa na
silaha nzito za kijeshi
yakiwemo mabomu ya
kurusha kwa mkono
wakiwa na magari ya
kijeshi kadhaa, pick-ups
na pikipiki.
Manusura hao wanasema
kuwa hawakuwa na
namna ya kupambana na
washambuliaji hao wenye
silaha nzito huku wao
wakiwa na mapanga, ndio
ikawa mtafaruku watu
kukimbia ovyo kila mtu
kusalimisha nafsi yake
ikawa mume anapoteana na
mke na mama anapoteana
na watoto.
Ta a r i f a z i n a e l e z a
kuwa kuna baadhi ya
wanajeshi walionekana
wakiwa na silaha wakitaka
kupambana na wavamizi
hao waliodaiwa kuwa ni
Boko Haram, lakini katika
hali ya kushangaza, punde
tu, wakatupa silaha chini
na kukimbia.
Anasimulia mama
mmoja Saratu Garba,
mama wa watoto wawili
ambaye alifanikiwa
kukimbia na watoto wake
hao akanusurika.
Anasema, wengi
walikimbilia katika mji
wa D o r o n B a g a , u l i o
kando ya Ziwa Chad,
l a k i n i wa s h a m b u l i a j i
wakawafuata huko huko
Makala
AN-NUUR
GAZETI moja la
Kikristo kwa jina
la Jibu la Maisha,
limesambaza kitisho
kuwa Jumuiya
ya Mihadhara ya
Kiislamu (maarufu,
U A M S H O ) ,
wanapanga kuleta
msiba mkubwa
wakati wa Pasaka.
Msiba huo utakuwa
ni kulipua makanisa
na kuuwa Wakristo.
K u f u a t i a
kupatikana kwa
habari hizo, Polisi
wametakiwa
wasipuuzie tishio
(hilo) la ugaidi
kwenye Pasaka
unaoandaliwa
n a M a s h e i k h wa
UAMSHO.
Aidha, gazeti hilo
la Kikristo limedai
k u wa , M a s h e i k h
wa UAMSHO,
ndio waliokuwa
wakipambana
na Polisi kule
Amboni hadi
Polisi wakazidiwa,
wakaitwa JWTZ.
Jibu la Maisha
wanalionyesha hilo
pale wanaposema:
Kwa
mara
nyingine tena
tumechapisha
hadharani jumbe
zinazoenezwa na
wanaodaiwa na polisi
kuwa ni majambazi
wakitishia kuibua
msiba mkubwa
wakati wa siku kuu
ya kukumbuka kufa
na kufufuka kwa
Bwana Yesu Kristo
(Pasaka).
Wamesema Jibu la
suala la ugaidi.
Chini ya kichwa
cha habari kidogo
Tishio la Msiba
Wa k a t i
w a
Pa s a k a , J i b u l a
Maisha walinukuu
ujumbe wanaodai
unasambazwa
sasa, lakini ukiwa
umesambazwa awali
wakati alipouliwa
Padiri wa Kanisa
katoliki, Zanzibar.
Huu ni mmoja
wa ujumbe ambao
vitisho bandia.
Security operatives
in Abuja have arrested
a man accused of
creating panic by
sending phony text
messages threatening
people about impending
Boko Haram attacks.
Ugwu Lawrence,
the suspect, reportedly
confessed to the crime
after being traced and
arrested by security
agents, the Nigerian
Defence Headquarters
reports.
N d i v y o
ilivyoandikwa habari
hiyo chini ya kichwa
cha habari Man
Arrested for Playing
Boko Haram, Sending
False Alarms about
Bombings.
Kijana Lawrence
anatuhumiwa kuwa
katika mtandao wa
vijana wa Kikristo
ambao walikuwa
wakitumiwa
kusambaza vitisho
bandia kuwa Boko
Haram, watalipua
hoteli na makanisa
sehemu mbalimbali.
Wakati mwingine,
vitisho bandia
hivyo vikifuatiwa
na matukio ambapo
kwa vile habari za
awali zilishawataja
watuhumiwa,
wahusika halisi
huwa hawapatikani.
Mara kadhaa,
walikamatwa
vijana wa Kikristo
wakijaribu kuchoma
makanisa baada
ya v i t i s h o h i v y o
kusambazwa. (Soma:
When Boko Haram
Became Christians,
HAUSA/FULANI
AS NIGERIA
SCAPEGOAT)
Habari za Kimataifa
AN-NUUR
wa upinzani CORD
pamoja na mashirika ya
kidemokarasi na kutetea
haki.
Hata hivyo Wakili wa
Serikali, Njoroge Mwangi,
alisema serikali itakata
rufaa ya kuondolewa
v i p e n g e l e h i v y o v ya
Sheria hiyo, iliyopitishwa
na Bunge Desemba 14
mwaka jana katika
kikao kilichokumbwa na
vurumai huku wabunge
wakipigana hadharani.
Baada ya hapo Rais
Uhuru Kenyatta alitia
saini mswada huo na
kuufanya sheria Desemba
22 ambapo chama cha
CORD kiliamua kwenda
mahakamani kikidai kuwa
sehemu nyingi za sheria
hiyo zilikiuka katiba.
Mashirika mengine
yalijiunga katika mchakato
h uo n a kuju mu is h wa
katika kesi, ikiwemo Tume
ya Kitaifa ya Kutetea Haki
za Binadamu.
Awali Jaji wa Mahakama
Kuu alikuwa amezuia
vipengele vinane vya
sheria hiyo kutotekelezwa
na kumchochea Mkuu
wa Sheria kukataa rufaa
lakini bado Mahakama ya
Rufaa ilishikilia uamuzi
wa Mahakama Kuu.
Kinachosubiriwa kwa
sasa ni kutazama mwelekeo
utakaochukuliwa, kufuatia
muun gan o wa C ORD
kusma kuwa wataenda
tena Mahakama ya Rufaa
kutaka sehemu nyingine za
sheria hiyo kuchunguzwa.
(BBC).
M WA N A H I S T O R I A ,
mwandishi wa habari,
mhadhiri maarufu na
mtaalamu wa masuala ya
kisiasa nchini Marekani
Webster Griffin Tarpley,
amefichua kuwa kundi la
wapiganaji nchini Syria
na Iraq la Daesh, ni jeshi
la siri la Washington
katika nchi za Kiislamu
na Kiarabu.
Akinukuliwa na
mtandao wa habari wa
'Alwaie News', Webster
alisema kuwa, Abubakar
al-Baghdadi, kiongozi
wa kundi hilo ni rafiki
wa karibu sana na seneta
John McKean wa jimbo la
Arizona nchini Marekani.
Mwanahistoria huyo
mashuhuri nchini
Marekani amefichua
kuhusiana na amani na
usalama wa kimataifa,
kwamba mashambulio
ya anga ya vikosi vya
kimataifa vilivyoongozwa
na Marekani huko Syria
na Iraq, mashambulio
ya anga ya Washington
dhidi ya Iraq mwaka
2003 na kuingilia kijeshi
nchi ya Libya mwaka
2011, ni mambo ambayo
yamesababisha kutokea
migogoro katika Mashariki
ya Kati.
Waziri Lavrov alisisitiza
kuwa, Umoja wa Mataifa
unapaswa kuwa na nafasi
muhimu katika kutatua
migogoro inayoshuhudiwa
katika maeneo mbalimbali
ulimwenguni.
6
Na Omar Msangi
PAMOJA na kauli ya
Jeshi la Polisi kuwa
harakati iliyofanyika
Tanga ya kukabiliana
na makundi ya kihalifu,
haikuwa ikihusiana na
ugaidi, lakini baadhi
ya vyombo vya habari
vimeshikilia hoja ya
ugaidi kwa ukucha na
jino.
Licha ya Polisi
kupooza, Ni Ugaidi
m t u p u : Wa t i s h i a
kuzusha msiba kwenye
Pasaka.
Ndivyo lilivyoandika
gazeti moja la Kikristo
liitwalo Jibu la Maisha
katika toleo lake namba
334 la Jumapili Februari
22-28, 2015.
Pamoja na hilo, yapo
pia magazeti mengine
ya Kikristo ambayo
ya me l i s h ik i a b ang o
suala hilo la kuwepo
magaidi wa Kiislamu
Tanzania.
Katika ukurasa wake
wa 5 na 7, Jibu la Maisha,
likitumia maelezo ya
mtu waliyedai kuwa ni
mtaalamu wa majanga
aliyetumikia mashirika
ya Umoja wa Mataifa
katika nchi mbalimbali,
Dr. Ben Morrison, gazeti
hilo limeandika kwa
urefu kuthibitisha kuwa
Tanzania kuna magaidi
Moja ya hoja alizotoa
Dr. Ben Morrison ni
kuwa katika matukio
ya k i g a i d i d u n i a n i
kote, magaidi ama
wanatoa taarifa kabla
au kujipambanua baada
ya matokeo (kwa maana
baada ya kushambulia)
Kwa hiyo ikaelezwa
h a p a k wa m b a k wa
vile kuna watu
wamesambaza waraka
kuwa watashambulia
katika
Pasaka
halikadhalika kutangaza
kuwa ni wao wanateka
vituo vya polisi, basi,
hapana shaka ugaidi
upo Tanzania.
Labda tuichoshe
kwanza nukta hii kabla
ya kwenda mbali kwa
sababu ni muhimu
sana. Alichosema Dr.
Ben Morrison, ni sahihi
kabisa ila tu hakufafanua
wanaofanya mchezo huu
na kusingizia wengine
ni akina nani. Ukianzia
Operation Nguchiro
(Operation Mongoose:
The Cuban Project),
Operation Northwoods,
Makala
AN-NUUR
Mchungaji, magazeti
wanachochea ugaidi
7
PA M O J A n a h a b a r i
hiyo ndefu, mhariri wa
Jibu la Maisha, katika
tahariri yake, amelitaka
Jeshi la Polisi lisipuuzie
tisho la ugaidi kwenye
Pasaka akizungumzia
kipeperushi alichodai kuwa
kimesambazwa na magaidi.
Lakini pia akikazia kuwa
kuna vijana wa Kiislamu
ambao tayari washakwenda
kujifunza ugaidi Somali.
Hapa tuseme jambo moja
la uhakika, na hii ni kutokana
na uzoefu wa yaliyojiri
mahali pengine katika hiki
kinachoitwa kitisho cha
ugaidi. Kama ni kuibua
msiba mkubwa wakati wa
siku kuu ya kukumbuka
kufa na kufufuka kwa Bwana
Yesu Kristo (Pasaka), basi
msiba huo utaletwa na Jibu la
Maisha, kwa moja ya njia tatu
zifuatazo. Moja kwa kufanya
wao kwa mikono yao. Pili,
kwa kuwajua waliofanya,
halafu wasiwafichue ila
wakapiga porojo na uwongo
wa kusingizia wengine. Tatu,
kwa kuchapisha uzushi
ambao unaweza kuwapa
mwanya magaidi halisi
k u f a n ya u o v u , wa k i j u a
lawama itaenda kwa
waliotajwa na Jibu la Maisha.
Hili litaeleweka kwa sababu
ndio mada ya uchambuzi
huu.
Ila Pasaka iwe salama. Na
nchi iwe salama. Vinginevyo,
Jibu la Maisha, watalazimika
kutueleza walikuwa wanajua
nini.
Tunanawa mikono
Katika kutoa tahadhari
kwa Polisi na kwa Watanzania
kwa ujumla, Jibu la Maisha,
wamesema maneno mazito
yafuatayo:
Tumechapisha jumbe
hizi ili kunawa mikono na
kuvikumbusha vyombo vya
usalama kuwa majuto ni
mjukuu na wakati wa kujuta
hauna msaada tena.
Tunafanya hivyo kwa
kuwa ipo tabia ya vyombo
vyetu vya usalama kuyapa
nafasi ndogo sana matishio
ya ugaidi na kushtuka wakati
yanapotokea.
Huu ni ujumbe mzito
unaostahiki kupokelewa kwa
uzito na kama ni kuungwa
mkono, kutolewa maelezo au
majibu, basi lazima pia yawe
majibu mazito.
Kwa uzito huo huo wa
kunawa mikono, na mimi
binafsi pamoja na An
nuur, tungependa tunawe
mikono pia. Isije ikasemwa
hatukusema.
Viongozi wetu wa vyama
vya siasa wana msemo wao
kwamba inapokuja jambo
la masilahi ya kitaifa, basi
h u we k a t o f a u t i z a o n a
masilahi ya vyama vyao
kando. Katika hili na mimi
kwa ajili amani, usalama,
mshikamano na umoja ya
taifa na nchi hii, ningeomba
nivumiliwe na niwaombe
radhi na mapema kuwa
itabidi niweke baadhi ya
picha ambazo kimaadili
Makala
AN-NUUR
ya u a n d i s h i wa h a b a r i
zisingepasa kuwekwa.
Naamini Mheshimiwa
Waziri mwenye mamlaka
na vyombo vya habari, na
Mamlaka nyingine husika,
watanielewa. Kama ndivyo,
natanguliza shukrani zangu
za dhati kwa kunielewa.
Ninachokusudia hapa
nikuonyesha jinsi ugaidi
bandia unavyopandikizwa
katika nchi, ikaingia chuki
na uhasama, matokeo yake
ikawa ni watu ndugu wa nchi
moja kuchinjana bila hata
tone la hisia ya ubinadamu na
hatimaye nchi kuingia katika
machafuko yasiyo kwisha.
Nitatumia mfano wa Nigeria
kwa sababu kuu saba.
Moja, ni moja ya nchi
za Afrika kama sisi. Pili,
tofauti na Somalia ambapo
kunatajwa kuwa na magaidi
a Al-Shabaab, lakini wote
ni Waislamu. Nigeria kuna
Waislamu na Wakristo kama
Tanzania, tena kwa idadi
inayokaribiana, kiuwiano
(%). Tatu, Kama ilivyo AlShabaab, wanaodaiwa kuwa
magaidi wa Boko Haram,
wametajwa sana na vyombo
vyetu vya habari na hata
wanasiasa kiasi cha kufikia
kudai kuwa tunao wananchi
wenzetu ambao tayari ni
Boko Haram. Nne, kama
ilivyo Nigeria, vyombo
vikubwa vya habari vyenye
kutegemewa, vinamilikiwa na
watu binafsi au taasisi zenye
mwelekeo wa kuunga mkono
kila lenye masilahi na Ukristo
na hivyo ndio hutumiwa
sana kukuza kitisho cha
ugaidi. Tano, tuna historia
inayofanana ya kutawaliwa
na Wakoloni wa Kizungu
a m b a o wa l i wa i m a r i s h a
Wakristo na kuwadhoofisha
Waislamu katika kila Nyanja
na matokeo yake ni kuwa
taasisi za Kikristo zina nguvu
sana katika siasa za nchi na
kimataifa. Sita, hata baada
ya kuondoka, bado nchi
zilizotutawala ambazo ni za
Kikristo, zikiungana na Uncle
Sam, bado zinaendeleza,
jicho la ubaguzi baina ya
Waislamu na Wakristo katika
nchi walizo tawala. Kwa
hiyo, kilio cha Wakristo wa
Nigeria na Tanzania, hata
kama kikiwa cha uwongo,
hakiwezi kuwa sawa na cha
Waislamu kilicho cha kweli.
Saba, Nigeria na Tanzania,
katika miaka ya hivi karibuni,
kumekuwa na ushirikiano wa
karibu sana baina ya baadhi
ya Makanisa na taasisi za
kiserikali za Marekani katika
kupiga vita Uislamu. Na
wamekuwa pamoja katika
kupiga propaganda.
Picha juu. Shekau wa
Boko Haram anayedaiwa
kulishinda nguvu jeshi la
Nigeria.
Kati. Picha inayotumika
inayotumika kutukana jeshi
la Nigeria kuwa ni woga
wanakimbizwa na punda.
Chini Mchungaji Ayo akiwa
na Rais Goodluck Jonathan
wa Nigeria.
Makala
AN-NUUR
Na Finian Cunningham
na utawala wa Ukraine
unaungwa mkono na nchi za
Magharibi, ambayo ilianzisha
vita isiyo na sababu dhidi ya
Ukraine ya Mashariki miezi
kumi iliyopita, kusababisha
vifo vya watu zaidi ya 5,500
na zaidi ya watu milioni moja
hawana makazi. - na bado
Obama analaani utumiaji
nguvu kama "uchokozi wa
wanaotaka kujitenga" na
anataka kupeleka silaha kali
zaidi kwa wakosaji.
Kutoka Obama kushika
ngazi ya siasa, hali inakuwa
mbaya zaidi. Makamu wa
Rais Joe Biden aliuambia
mkutano wa usalama jijini
Munich wiki iliyopita kuwa
"watu wa Ukraine wana
haki ya kujilinda" na kuwa
wanaojilinda? Wanakatazwa
kufanya hivyo? Wao siyo
raia wa Ukraine? Au labda
kwa vile wana asili ya Russia
inawafanya wawe duni kwa
mtazamo wako?
Mwanadiplomasia Mkuu
wa Marekani John Kerry,
anayedhaniwa ni mweledi,
anayezungumza lugha
kadhaa na kufahamu nchi
tofauti, anarudia madai hayo
yasiyo na msingi au akili
dhidi ya Russia, akidai kuwa
nchi hiyo ndiyo "tishio kuu
zaidi kwa Ukraine." Kerry pia
anataka kupeleka silaha kwa
Ukraine kuipa somo Russia.
Pia kwa Ashton Carter,
anayeingia kama Waziri
wa Ulinzi mpya pia
Michel Floournoy ambaye
wa mapigano yanayoendelea
anatazamiwa kuwa Waziri
wa Ulinzi endapo Hillary
Clinton anashinda urais
uchaguzi mkuu 2016. Pia
Bobby Jindal ambaye ni
mgombea moto wa kuteuliwa
Makala/Tangazo
AN-NUUR
Tofauti na wa-Marekani
wa n a o s u k u m wa t u n a
kupaza sauti, kuna uelewa
wa pamoja mpya miongoni
mwa nchi za Ulaya kuwa
kujaza silaha chini Ukraine
siyo jawabu, na hasa
inahitajiwa kuachwa, na
kuwa wanaotaka kujitenga
wana hoja zenye mantiki
za kuwa na uhuru mpana
wa kisiasa zinazostahili
kusikilizwa kwa amani.
Viongozi wa Ulaya
angalau mbele ya watu,
wanaweza bado kutumia
lugha inayochosha kuwa
Russia inaihujumu Ukraine
kwa kificho na vikosi vyake
au misaada ya kijeshi kwa
wanaotaka kujitenga.
Utawala wa Russia unakataa
kata kata madai hayo.
Ila angalau viongozi wa
Ulaya wanaonyesha kuwa
na uwezo wa kufikiri wa
kutosha kutambua kuwa
kumnyooshea kidole Putin
kwa nguvu Russia kuwa
ndiyo chanzo cha tatizo
lote, hakusaidii na kwamba
inawezekana kuna zaidi ya
upande mmoja katika suala
hilo.
Anaweza kusifiwa Angela
M e r k e l k wa k u s i m a m a
imara katika upinzani wake
kwa miito ya Marekani ya
kuongeza kuhusika kijeshi
n ch i n i Uk r a i n e . Ak i wa
jijini Washington wiki hii,
aliondoa kabisa uwezekano
wa kuunga mkono wazo
la kupeleka silaha zaidi
nchini Ukraine. Upinzani
wa Merkel kwa pendekezo
la Marekani umelaaniwa
na ma-Seneta waandamizi
k u wa n i ' k u m r i d h i s h a '
Putin, kunakofanana na
jinsi Neville Chamberlain
wa Uingereza alivyojitahidi
kumridhisha dikteta Adolf
Hitler wa Ujerumani katika
mkutano wa Munich mwaka
1938.
Kuchukuliana na
wapuuzi wa Marekani hivyo
h a i we z e k a n i . Wa n a k a a
katika dunia tofauti
kimawazo na watu wengine.
Dunia yao inaundwa na
propaganda inayokwepa
historia na mwelekeo wa
kulazimisha ambao unafanya
majadiliano, kupeana na
kubadilishana, au ufafanuzi
wa kimantiki kuwa mgumu
kufikiriwa. Ubabe wao na
kibri cha ujuha ni kizuizi
cha mawasiliano halisi na
uelewano. Yote kayataka
Putin; tatizo ni makundi
h a y o ya n a y o t u m wa n a
Russia; ni himaya ovu ya
Urusi inayotaka kurudi.
Kuondolewa isivyo halali
kwa utawala wa Ukraine
ambako kuliungwa mkono
na Marekani? Vita ya utawala
wa Ukraine ikiungwa mkono
na Marekani dhidi ya wakazi
wa U k r a i n e m a s h a r i k i
wenye asili ya Russia? Una
kuukwaruza mstari
uliochorwa ardhini na
utawala wa Marekani
kuwa nchi za Ulaya, na
hasa Ujerumani, haziwezi,
hazithubutu, zisijaribu,
kuhoji ubabe wa Marekani
na sera yake ya muda
mrefu ya uadui dhidi ya
Russia.
Merkel na Hollande
wanaweza kuwa wanapata
hisia mpya kutoka kwa
mamilioni ya wananchi
wa kawaida barani Ulaya
ambao wanapinga kwa
nguvu utaka vita wa
Marekani kwa Russia kwa
kuiingiza Ulaya. Lakini
ukichukua utwana wa
jadi kwa vichwa ngumu
wa Marekani, uwezekano
wa kufikia uelewano
mpya ya mahusiano ya
amani inakuwa ngumu
kutarajia. Uongozi barani
Ulaya bado ni wateja wa
ndoana za Marekani.
Lakini wananchi wa Ulaya
wanaopata kichefuchefu
na hali hiyo wanaweza
tayari wanasukuma
mabadiliko katika
mifungamano kichwa
ngumu.
(Makala hii Moscows
Problem: Dealing with
Imbeciles and Vassals,
imeandikwa na Finian
Cunningham na
kutafsiriwa Kiswahili na
Anil Kija)
10
Makala
AN-NUUR
Inatoka Uk. 3
kubomolewa.
Hatuwezi kurejea
makwetu, nyumba
zimechomwa moto na
hapa sina nguo nyingine
zaidi ya hizi nilizovaa,
anasimulia mmoja wa
manusura Hadija Umar,
mama wa watoto watatu
ambaye mumewe aliuliwa.
Katika kunusuru
maisha, baadhi ya
Wa i s l a m u wa l i j i k u t a
wakitembea kilometa 162
(maili 100) hadi Maiduguri
mji mkuu wa Jimbo la
Borno.
Hiyo ni kwa mujibu wa
Shirika la Madaktari wasio
na Mipaka, Medecins Sans
Frontieres, na kusema
kuwa wengine wamevuka
mpaka na kuingia Niger
na Chad.
Shirika la kuhudumia
Wakimbizi la Umoja wa
Mataifa- UN refugee
agency (UNHCR), limekiri
kupokea maelfu ya
wakimbizi hao Waislamu
huku baadhi yao wakiwa
katika majonzi ya
kupotezana na wapenzi na
ndugu zao wasijue wapo
hai au wamekufa.
"Sijui kama wapo hai au
wameuliwa, anasimulia
Harun Muhamad akiwa
na majonzi kambini hapo
akisema kuwa hajui alipo
mkewe na mtoto wao
mchanga huku Dahiru
Abdullahi, akiwa hajui
walipo ndugu zake wengi
akiwemo mdogo wake.
Dahiru Abdullahi ni
mmoja wa wakimbizi
2,500 waliohifadhiwa na
UNHCR katika kambi
ya "Dar-es-Salaam" nje
kidogo ya mji wa BagaSola.
Katika jumla ya
almanusurina walio katika
Kambi ya Wakimbizi Dar
es Salaam, ni Bi Aisha
Al-Haj Gorba ambaye
anasema kuwa wakati
wa k i va m i wa i l i k u wa
siku zake za kujifungua
zimetimia.
Walikimbia na mumewe
na watoto wao watatu
na kujificha porini kwa
siku tatu huku akianza
kuumwa.
Anasema, hatimaye
walifanikiwa kudandia
mtumbwi uliofurika
wakimbizi wakivuka ziwa
Chad na hapo ndio na
uchungu ukakazana.
Mimi na mume
wangu, tulikuwa muda
wote tunamuomba Allah
anisitiri, maana pamoja
na kuomba nijifungue
11
Makala
AN-NUUR
Inatoka Uk. 10
kijeshi ya Baga.
Chief of the Defence Staff)
Air Chief Marshal, Alex
Badeh, ambaye awali alitoa
taarifa za kukanusha,
baada ya mambo kudhihiri
na hayafichiki tena, akatoa
taarifa nyingine akikiri
kambi kutekwa na Boko
Haram. ("Nigerian Defense
Chief : Military Base in
Hands of Extremists". ABC
News. Associated Press.
Retrieved 9 January 2015.2.
"Boko Haram displaces 1,636
in Baga". News Express.
7 January 2015. Retrieved
9 January 2015.Hata
hivyo, pamoja na kuanza
kutolewa taarifa hiyo,
hadi sasa Rais Jonathan
hajatoa kauli yoyote kulani
mauwaji hayo.
Kutokana na ukubwa
wa jambo hilo kushinda
h a t a l i l e l a k u d a i wa
kutekwa wasichana
279, watu mbalimbali
wamekuwa wakihoji nini
tafsiri ya kimya hicho cha
Rais Jonathan.
Julius Malema, kiongozi
wa Chama cha (left-wing)
Economic Freedom Fighters
cha Afrika ya Kusini na
kiongozi wa zamani wa
Vijana wa ANC, (African
National Congress, Youth
League), yeye alikuwa na
haya ya kusema kuhusu
kimya hicho cha Jonathan:
Goodlook, or Goodluck
or whatever his name is or
badluck I dont know ... He
is quick to release statement
about the killing in Paris; but
dont (sic) say anything about
the killings in his own country.
Thats an irresponsible
leadership. ("South African
Politician, Malema, Attacks
Jonathan, Says President
12
MAKALA
AN-NUUR
Inatoka Uk. 11
13
Makala
AN-NUUR
za chura hazimkatazi
ngombe kunywa maji,
kwani ngombe akifika
katika sehemu yoyote
ile ilio na maji, kiwe
kidimbwi, kijito n.k. huku
vyura wanahanikiza kwa
kelele, ngombe husema,
piga kelele wee mie maji
nitayanywa.
Hapa najaribu kutaka
kujenga hoja namna
uharibifu mkubwa
unaotendeka hivi sasa wa
kimazingira na kusikia
kauli zitolewazo na
waharibifu kuwa pigeni
kelele wee, sio tupo pale
pale, tena mnataka tukale
wapi?
Mada yangu ya wiki
hii ni juu ya mikoko au
kama wengine waitavyo
mikandaa namna
i n a v y o a n g a m i z wa n a
kuanza kutoa athari
mbalimbali katika maeneo
ya mwambao.
Waislamu wametakiwa
kuenzi na kupanda
miti kwa wingi,
Mtume Muhammad
SAW amesisitiza kuwa
muumini wa Kiislamu
ajizaititi katika kupanda
miti, kama hadithi hii
isemayo Ikiwa Muislamu
bargumu la kiyama
akatokea mja akiwa na
mche mkononi anataka
kuupanda, basi aupande
mche hio. (Imenukuliwa
na Ahmad na Al-Bukhar
juu ya usihihisho wa Anas
in Al Adab Al-Mufrad,
angalia zaidi kwenye
Sahih Al- Jami' Al-Saghir,
No.1424).
Uislamu umesisitiza
ilipoasisiwa Nyumba ya
maarifa/hikma ambapo
fani mbalimbali ziliibuliwa
kwa kina kirefu iwe Hesabu,
Fisikia, Elimu ya nyota,
Usarifu wa majenzi, Kemia,
Ushairi, Filosofia, Utibabu na
fani nyenginezo. Zama hizi za
karne ya 8 zikijulikana kama
Muhammad SAW.
Kuna nadharia maarufu
inayozungumzia juu ya
wakati na upenyo na
harakati za mwendo zikawa
l a z i m a z i a n z i e k we n ye
nukta ilioanzia (Theory of
relativity) iliokuja mpa sifa
kuwa Albert Einstein. Wakati
Einstein anayazungumzia
haya wataalamu wa
Kislamu walikuwa tayari
wameshaifanyia kazi.
Nadharia hio.
Elimu ya Algebra,
algorithms na trigonometry
elimu zilizoleta msingi
mkubwa wa Teknolojia.
Elimu hizi zilifanyiwa kazi
kubwa na wataalamu wa
Kiislamu. Miji ya Damscus,
Baghdad, Cairo n.k. Vigogo
vya Kiislamu kama ibn alHaytham, ibn Sina, al-Tusi, alKhwarizmi, Omar Khayyam,
hawa ndio walioasisi na
kuisukuma sayansi iliokuja
kupanuliwa na kuendelezwa
na kina Newton, Copernicus,
Einstein na wengineo.
Makala kumi na tano
mfululizo muandishi wa
makala hii atawaelezea
baadhi yao kwa uchache
ili Muislamu aelewe juu
ya michango ya Waislamu
katika maendeleo.
14
JANUARI mapema
mwaka huu, makamanda
we n ye v ye o v ya j u u
wa j e s h i l a N i g e r i a
walikamatwa na mpaka
sasa wapo kizuizini kwa
madai kuwa walishindwa
kuwazuiya Boko Haram
kuteka kambi ya kijeshi
ya Baga na kisha kufanya
mauwaji ya watu wapatao
2000 kwa uchache.
Waliokamatwa ni pamoja
na Brigadier General,
Enitan Ransome-Kuti,
Lieutenant Colonel G.A.
Suru, Lieutenant Colonel
Haruna na Major Aliyu.
Kambi ya Baga, sio
kambi ndogo, kwani ndio
Kambi na Makao Makuu
ya Kikosi cha Kupambana
na Ugaidi wa Boko
Haram (Headquarters of
the Multinational Joint
Task Force [MNJTF]),
kikijumuisha nchi za
Nigeria, Niger, Chad na
Cameroon.
Taarifa zinasema kuwa
Kambi hiyo ina vifaa vya
kijeshi vya kutosha na
vya kisasa, ambapo katika
hali ya kwaida haitarajiwi
hata hao Boko Haram,
kuwaza uwezekano wa
kuishambulia.
Hata hivyo, walifanya
hivyo na Kamanda Mkuu
wa Kambi hiyo, Bwana
Ransome-Kuti kwa
siku nne, Boko Haram
walipokuwa wakifanya
mauwaji, hakuweza
kupatikana hata kwa simu.
Aliingia mafichoni.
The Brigadier General
is also send to have gone
underground for four
days after the MNJTF was
dislodged. Nobody was able
to reach him and nobody
could tell where he was,.
The suspicion is that he was
roaming around Maiduguri
in mufti while his troop
were in disarray. He and
his officers have to account
for everything. Ilisema
taarifa iliyochapishwa
katika gazeti la PREMIUM
TIMES.
U k i a c h a
h a o
waliokamatwa katika tukio
hilo la Januari mwaka
huu, lakini kuna mamia
ya askari wengine ambao
wameshafikishwa katika
mahakama za kijeshi
wakituhumiwa kuasi na
kukaidi amri ya jeshi ya
kupambana na magaidiBoko Haram. Nimejaribu
kuweka baadhi ya picha za
wanaodaiwa kuwa ni Boko
Haram, halafu msomaji
utizame na upime, iwapo
hao ni watu wa kuweza
kuteka kambi ya jeshi, hata
iwe ndogo kiasi gani.
Ufupi wa maneno
jeshi la Nigeria hivi
sasa linaonekana kiroja
Makala
AN-NUUR
MAMA akiswali na mtoto wake nje ya nyumba yao iliyochomwa moto. Tizama
mswala na birika lake la kutawadhia.
MAITI za ajali ya lori la mafuta Congo, DRC zikiwa zimefunikwa na blanketi, sasa
zinatumika kama propaganda ya kuwasingizia ugaidi Waislamu Nigeria.
na takataka tupu mbele h i z o wa n a z i a m i n i n a recalcitrant zebra charged
ya jamii. Hivi karibuni maelezo yake. Picha hiyo them.
ilisambazwa habari na ilikuwa imechukuliwa
Leo zebra hao wa
picha katika mitandao katika jarida, National Kenya wamekuwa wa
i k i o n y e s h a p i c h a ya G e o g r a p h i c N e w s , Nigeria na askari wa
w a n a j e s h i w a w i l i l a Au g u s t 1 7 , 2 0 0 7 nyama pori wa Kenya,
wakikimbizwa na punda l i k i wa o n ye s h a a s k a r i wamekuwa wanajeshi wa
milia.
wanyama pori wa Kenya Nigeria wa kupambana na
N i g e r i a n a r m y s wakiwa katika harakati za Boko Haram!
cowardice, ndio kichwa kutekeleza majukumu yao.
Baada ya lile tukio la
cha habari kilichokuwa
Picha ilipigwa na mpiga kutekwa wasichana 279
kimeandamana na picha picha wa Shirika la Habari kule Chibok, Aprili mwaka
hiyo ikidaiwa kuwa, kama la Reuters, Kenya tarehe jana 2014, ilichapishwa
wanajeshi wa Nigeria ni 30 Julai, 2007. Picha hiyo habari na picha ikionyesha
waoga kiasi cha kukimbia ilipochapishwa katika wanawake walioshika
punda milia, haishangazi jarida la NG, lilikuwa bunduki, AK-47 assault
kuona kambi zao zikitekwa na maelezo (caption) rifles, na kuelezwa kuwa
na Abubar Shekau wa yafuatayo:
wanawake hao, waliweza
Boko Haram.
Two Kenya Wildlife kupambana na kuwatimua
La kushangza ni kuwa Service rangers, working to Boko Haram.
wala watu hawakuzingatia help move 2,000 animals to
Another Boko Haram
kuwa Nigeria hakuna the Meru National Park, had attack repelled by armed
punda milia. Picha kama to make a run for it when a women,, Boko Haram
15
UKIACHA taarifa feki
za kulichafua jeshi, hata
taarifa za kukuza kitisho
cha ugaidi nazo ni feki
pia. Ni mambo ya kuzua.
Urongo wa makusudi.
Ukiacha yale mahusiano
yasiyo mazuri baina ya
Waislamu na Wakristo
yaliyojengwa na wakoloni
toka zama za ukoloni, hii
chuki ya sasa na mengi
yanayoitwa matukio ya
kigaidi ni ya kupanga na
mengine yakiwa uzushi
tu. Ifuatayo ni mifano hai.
Baada ya tukio la
kushambuliwa miji ya
Doro Gowon na Baga,
Kaskazini mwa Nigeria,
mwezi uliopita ambapo
Waislamu 2000 waliuliwa
na nyumba zao kuchomwa
moto, picha za kutisha
z i l i s a m b a z wa k a t i k a
mitandao (online) na
kudaiwa kuwa huo ni
ushahidi wa mauwaji ya
kutisha ya Boko Haram
kwa Wakristo.
Ili kuelewa hatari ya
propaganda na ubaya wa
watu wanaofanya kazi
hii, nilitangulia kuomba
radhi kuwa nitatumia
picha za kutisha. Moja
ya picha iliyotumiwa
ilikuwa ikionyesha
maiti zilizoungua moto
zikiwa zimezagaa mbele
ya nyumba moja. Picha
h i y o i k a o n g o z wa n a
ichwa cha habari:Baga
massacre. Ikawekwa pia
picha nyingine ya maiti
m wa n a m k e n a m t o t o
wake mdogo walioungua
na miili yao kubabuka.
Zote hizo ikadiwa kuwa
ni za wahanga wa Baga
massacre.
Hata hivyo, picha ya
maiti nyingi zilizoungua,
ilikuwa za tukio la watu
waliokufa kwa kuungua
moto Congo (DRC) mwaka
2010 baada ya lori la
mafuta kuanguka na watu
kukimbilia kuiba mafuta,
likalipuka.
Picha hizo zilipotolewa
kwa mara ya kwanza
katika vyombo vya habari,
zilisindikizwa na vichwa
vya habari vifuatavyo:
Congo Oil tanker kills
220. DR Congo oil tanker
blaze kills 220. Na vingine
mfano wa hivyo.
Kwa bahati nzuri hata
TV za Kikristo, mfano
Gospel GTV, ilitoa taarifa
hiyo na picha hizo ikibebwa
na kichwa cha habari Sio
Wanajeshi Vitani. Kisha
taarifa ikasema, Lori la
Mafuta: 220 wafa. Ni baada
ya ajali, mafuta yakavuja.
Umasikini kulaumiwa?
Je, itakuwa funzo?
Au imekuwa mazoea.
Tu f a n ye j e ? ( A n g a l i a
Gospel GTV.com.)
Makala
AN-NUUR
MIILI ya watu aliokufa kwa kuungua moto kwenye ajali ya gari la mafuta Congo DRC,
2010. Picha hiyo imekuwa ikitumika Nigeria ikidaiwa ni Wakristo waliochomwa
moto na Boko Haram. Picha chini ni gari lililopata ajali.
16
JULAI 10, 2012 Pastor
Ayo Oritsejafor, ambaye
ni Rais wa Chama
cha Wakristo Nigeria,
(Christian Association of
Nigeria (CAN), alipewa
fursa ya kuongea katika
K a m a t i ya B u n g e l a
Marekani (U.S. House of
Representatives Foreign
Affairs Committee, Subcommittee on Africa,
Global Health and
Human Rights), ambapo
alikariri habari hizo
hizo za kughushi kuwa
Waislamu wanachoma
m o t o Wa k r i s t o , n a
kusisitiza kuwa ni punde
tu, kama Marekani na
jumuiya ya Kimataifa,
haitaingilia kati, Wakristo
wa Nigeria watamalizwa
na Waislamu wanaotaka
kusilimisha Wakristo
kwa nguvu.
Boko Haram has waged a
systematic campaign of terror
and violence. They seek an
end to western influence and
a removal of the Christian
presence in Nigeria. This
is outright terrorism, not
legitimate political activity
or the airing of grievances.
Alisema Mchungaji Ayo
ambaye ana ndege binafsi
kutoka Marekani ambayo
mara kadhaa imekamatwa
ikijaribu kuingiza silaha,
na kumalizia kwa kuitaka
Marekani kuchukua hatua
haraka. Alisema:
A s B o k o H a r a m
increasingly turns towards
genocide through the
systematic targeting of
Christians and Christian
institutions in pursuit of its
goals, history will not forget
the actions or the inactions
of your great nation. I thank
you for this opportunity
and I look forward to the
continuing our strong
partnership with America.
Thank you, Mr.
C h a i r m a n . ( Ta z a m a :
Nigerian Christian
Association President
Statement to US Govt. on
Boko Haram.)
Wiki iliyopita tulitaja
kisa cha baadhi ya
vyombo vya habari vya
Nigeria kuchukua picha
zilizotumika kupiga
propaganda Somalia
mwaka 2008 kuwa AlShabaab wanachinja
Wakristo, wakazitumia
mwaka 2012 kuonyesha
kuwa ni Boko Haram,
kisha wakapaza kilio
kuwaita Wamarekani waje
wawaokoe, vinginevyo
watamalizwa kwa
kuchinjwa na Waislamu.
N i k i wa m wa k a wa
k wa n z a C h u o K i k u u
cha Dar es Salaam
mwaka 1983, tulikuwa
na mwalimu wetu wa
Makala/Tangazo
AN-NUUR
Nafasi ya Wachungaji
PICHA juu wanaodaiwa kuwa Boko Haram wakiwa chini ya ulinzi. Vijana hao ndio
wanaodaiwa kulishinda nguvu jeshi la Nigeria. Kati Mohamed Yusuf kiongozi wa
zamani wa Boko Haram akiwa chini ya ulinzi baadaye kuuliwa na jeshi hilo. Chini
Mchungaji Ayo.
DS kutoka Ujerumani
Mashariki wakati huo.
Alikuwa akipenda sana
kuwabamiza Wamarekani
na siasa zao za ubeberu.
Siku moja mwanafunzi
mmoja akamuuliza,
mbona hata Urusi
imevamia Afghanistan
mwaka 1979 na bado
inaikalia kimabavu.
Mhadhiri huyo akajibu
kuwa wakati Marekani
inafanya kuvamia
nchi za watu kibabe,
Urusi ilikaribishwa na
wananchi wa Afghanistan
kuwanusuru kutokana na
utawala mbaya uliokuwa
ukitumikia mabeberu
wa n y o n ya j i . I t wa s
invited by the people,
alisema kwa Kiingereza.
N a
k w e l i ,
kinachofanyika
toka limeibuka hili
jinamizi Boko Haram,
kinachofanywa na vyombo
vya habari vya Nigeria na
baadhi ya Wachungaji, ni
kuikaribisha Marekani
kuikalia nchi hiyo kijeshi.
Hoja/kisingizio ni kuwa
serikali yao, jeshi lao,
limeshindwa kuwalinda
kutokana na Boko Haram!
Ni makaribisho kama
hayo, japo kwa kasi zaidi,
yaliyotumika kujivuruga
Libya, na sasa ndio hayo
hayo yanayotumika
kuivuruga Syria na kurejea
tena Iraq kwa kisingizio
cha kuzinusuru nchi hizo
na balaa la Islamic State
(IS).
Hiki ndicho anachosema
Glen Ford katika makala
yake The U.S. Empire
and ISIS: A Tale of Two
Death Cults, ambapo
anasema kuwa kila
mwaka imekuwa ni ada
kwa Marekani na wakati
mwingine, zikijumuika
Uingereza, Ufaransa
na Italia, kuandaa
yanayoitwa mazoezi ya
pamoja ya kijeshi- U.S.
Africa Commands
military Flintlock exercise,
ambayo japo yanadaiwa
kuwa nia ni kukabiliana
na kitisho cha ugaidi na
changamoto nyingine za
kiusalama, Ford anasema
kuwa kwa hakika
yamekuwa-designed to
deepen African militaries
dependence on western
weaponry, training and
finance.
Na kuhusu Boko Haram
akasema, Boko Haram has
proven quite useful to the
consolidation of U.S. military
dominance in West Africa.
Kwamba kitisho cha
Boko Haram, kama
kilivyopepewa na vyombo
vya habari na baadhi ya
wachungaji, kimekuwa
msaada mkubwa katika
kuimarisha utawala na
udhibiti wa kijeshi wa
Marekani katika Afrika
Magharibi.
17
Makala
AN-NUUR
Waislamu kote nchini mnatangaziwa nafasi za kidato cha Tano kwa shule zifuatazo:
KIRINJIKO ISLAMIC SECONDARY SCHOOL
SAME KILIMANJARO
NYASAKA ISLAMIC SECONDARY SCHOOL
MWANZA
UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOO L
DAR ES SALAAM
1. Shule hizi ni za Kiislamu zenye lengo la kuwapa wanafunzi taaluma ya hali ya juu na malezi bora ya Kiislamu.
2. Shule hizi ni za bweni za mchanganyiko wa wavulana na wasichana .
3. Zipo tahasusi za masomo (Subject Combinations) ya SAYANSI, ARTS na BIASHARA.
4.
Wanafunzi wote wanafundishwa Islamic Knowledge,Introduction to Arabic na matumizi ya compyuta pamoja na kutumia mtandao (internet)
katika kujifunza.
5. Muombaji anatakiwa awe na sifa za kujiunga na kidato cha tano kwa mujibu wa wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
6. Fomu za Maombi zinapatikana kwa gharama ya shilingi 10,000/= katika vituo vilivyoorodheshwa hapa chini.
Arusha - Ofisi ya Islamic Education Panel, Jambo Plastic, Ghorofa ya 2 mkabala na msikiti Mkuu Bondeni
: 0783552414/0762817640.
Kilimanjaro
- Moshi: Msikiti wa Riadha :712 216490
- Same Juhudi Studio mkabala na Benki ya NMB Same: 0757 013344.
- Same: Kirinjiko Islamic Secondry School: 0784 296424/0655 697 075
- Usangi- Falhum Kibakaya : 0787 142054.
- Ugweno Kifula Shopping Centre- Yusuph Shanga : 078458776.
Tanga
- Twalut Islamc Centre Mabovu Darajani : 0715 894111
- Uongofu Bookshop: 0784 982525
- Korogwe: SHEMEA SHOP : 0754 690007/071569008.
- Mandia Shop - Lushoto: 0782257533.
-Handeni Mafiga -0782 105735/0657093983
Mwanza
- Nyasaka Islamic Secondary School : 0717 417685/0786 417685.
- Ofisi ya Islamic Education Panel Mtaa wa Rufiji mkabala na Msikiti Al-Amin 0785 086 770/0714097362.
Musoma
Shinyanga
Morogoro
Dodoma
Singida
Manyara
Kigoma
- Msikiti wa Mwandiga: 0714717727
- Kibondo Islamic Nursery School: 0766406669.
- Kasulu: Murubona Isl.SS: 0714710802.
Lindi
Mtwara
- Ofisi ya Islamic Education. Panel karibu na Nuru snack Hotel : 0786 425838/0784 928039.
- Ofisi ya Islamic Ed. Panel Masjid Rahma: 0784491196
Songea
- Kwa Kawanga Karibu na Msikiti wa NURU : 0713249264/0683670772.
- Mkuzo Islamic High School :0717 348375.
Mbeya
Rukwa
Tabora
Iringa
Pemba
Unguja
18
Makala/Tangazo
AN-NUUR
ni feki.
Hata hivyo, kadiri
maelezo yalivyotolewa
na baadhi ya mitandao
ya kijamii ikiunga mkono
na kuonesha kuwa video
ya Shekau mpya ni feki,
habari za kuwa Abubakar
Shekau yu hai, zikawa
za Nigeria na kusambazwa
katika mitandao na vyombo
vya habari vinazitumia.
Lakini kama ilivyokuwa
kwa yule Mhariri wa gazeti
maarufu kabisa la Ujerumani,
Frankfurter Allgemeine
Zeitung, Dr. Udo Ulfkotte,
ilidhihirika kuwa kuna watu
walikuwa wakipewa habari
za Boko Haram na kutakiwa
kuziweka kama zilivyokuwa
hata kama zilikuwa za
uwongo.
Ametajwa mtu mmoja
kwa jina la Ahmad Salkida
(haijulikani kuwa ni jina
halisi au pen name),
ambaye baadae alikimbilia
D u b a i , k u wa n i k a t i k a
waliokuwa wakipewa
habari za Boko Haram (na
nani? Haijajulikana) na
kuzisambaza katika vyombo
v ya h a b a r i m b a l i m b a l i
ambavyo navyo vilikwisha
andaliwa.
Katika taarifa yake ni
kwanini anakimbia Nigeria,
alisema wazi kuwa hakuwa
tayari kuendelea kupokea
na kuandika habari za Boko
Haram, na kwa kukataa
kuendelea kufanya kazi
hiyo, alikuwa na wasiwasi
juu ya usalama wake.
Lakini alisema pia kuwa
Tahadhari ya Polisi
kiwakilishi au nembo ya
ugaidi Nigeria. (Angalia:
Abubakar Shekau is a Fake
Identity, Not a Name,
Military Says.)
Ilikuwa ni katika kikao
na wandishi wa habari
ambapo msemaji wa jeshi
Brigadier General Chris
Olukolade, alisisitiza
19
Makala/Tangazo
AN-NUUR
eneo la Al-Madinah
ikiwa sasa unajulikana
kwa jina la Medina, Kuwa
marufuku kukata miti
wala kuuwa wanyama
na mpango huu wa Hima
ulibaki na kuendelezwa
hadi zama hizi.
Waislamu wameyatupa
mafunzo ya dini yao
na mafunzo hayo
kuchukuliwa na
waliokuwa sio Waislamu,
matokeo yake sasa
Waislamu wanafunzwa
na wengine na kuona
taaluma hizo ni vitu vipya
na kuanza kutekeleza kwa
hamasa. Mfano mwengine
Mtume SAW ametufunza
tupande mauwa kwa
kauli isemayo Pandeni
maua kwani hivyo ndivyo
vipando vya Peponi.
Ilibidi katika majumba
yetu tuwe na mauwa ya
kila aina, lakini waliokuwa
s i o Wa i s l a m u n d i o
wanaopandisha maua
na kupenda maua na
kusikia anazungumzwa
Muislamu aliojizatiti
na upandaji wa maua
n y u m b a n i k wa k e n a
kupewa jina la Bazungu.
Sasa tuje katika mada
juu ya miti ya mikoko.
Nikitu gani mikoko?
Mikoko ni aina ya miti
ambayo huonekana
kwa wingi katika
sehemu za joto kwenye
ukanda wa mwambao.
Tunafahamishwa kuwa
kuna aina 110 za mikoko
duniani kote na katika
Afrika ya Mashariki kuna
aina 11 na mikoko hio ni
kusema sawa na asilimia
10 ya mikoko yote duniani.
Mikoko ina faida nyingi
kati ya hizo ni mazalia ya
samaki, samaki baada ya
kuzaliwa hubakia katika
maeneo hayo mpaka
wanapokuwa wakubwa
kisha huelekea kwenye
bahari kuu, mikoko
hunyonya uchafu utokao
majumbani, mikoko
huzuia kasi za upepo
unapovuma, baadhi
ya viumbe mbalimbali
ikiwa kaa na wengineo
nao hufaidika maisha
yao katika maeneo ya
mikoko, mikoko hutoa
rangi ambazo hutumika
katika kuweka rangi za
viatu, hupatikana dawa
kutokana na mikoko,
magamba ya mik ok o
hutengenezwa viatu vya
kienyeji, hupatikana kuni
na majengo kutokana na
mikoko, mkaa wa mkoko
husifiwa kuwaka kwake,
kwa kifupi mikoko ina
faida chungu nzima.
Katika nchi yetu
ya Ta n z a n i a m i k o k o
h u t u m i wa k wa k a z i
mbalimbali kwa mfano
Msinzi au Mkaka
(Rhizophora mucronata
) aina ya mkoko
ambao hutumiwa zaidi
k wa m a j e n g o , k u n i ,
utengenezaji wa mikoba,
Mkandaa mkwendu au
kwa jina jengine Mkandaa
wa pwani (Ceriops tagal)
unatumika kwa majengo,
uzio na kuni, Msinzi
(Brugiera gymnorrhiza)
maarufu kwa majenzi
na hata nguzo za simu
hutokana na aina hii ya
mkoko. Mchu (Avicennia
marina) hutumika
kutengeneza mataruma
a i d h a h u t e n g e n e z wa
viti, mipini n.k. Mlilana
au kwa majina mengine
Mkopa, Mkoko mpya
hutumika kwa majenzi,
Mtifi (Xylocarpus
granatum) hutumika kwa
kutengeneza fanicha za
majumbani kisha kuna
Msikundazi (Heritiera
littoralis) hutumika kwa
kutengeneza milingoti ya
ngarawa, fanicha n.k.
Inakisiwa kuwa kuna
hekta 20,000 za Mikoko
visiwani Zanzibar na kila
kukicha zinapungua,
usimamizi wa mikoko
upo chini ya idara
inayohusika lakini
ukatwaji wa mikoko na
uharibifu upo na unaleta
tishio. Mikoko iliopo eneo
kuanzia Kinazini hadi
Maruhubi inakatwa kama
watu wamehalalishiwa
kufanya hivyo. Aidha
katika eneo la Kisakasaka,
Uzi mashoka yanaifisidi
mikoko na wafanyao
hayo wanayatekeleza
bila ya kujali. Mikoko
imehifadhiwa kisheria
lakini wengi wamejifanya
ngombe kuwa kelele za
vyura wao haviwasumbui
wanaendelea kuonyesha
kuwa wanatimiza matlaba
yao.
Jee hii mikoko sasa watu
wanatakiwa wasiyavune
kabisa kabisa iachiwe tu?
Hili ndio suala la wale
wa n a o i v u n a m i k o k o
pasi kisheria ndio suala
lao hupenda kuuliza
unapokutana nao.
Kuna dhana ijulikanayo
Maendeleo endelevu au
Maendeleo stahmilivu
a u u n a we z a K u ya i t a
Maendeleo ya kudumu
(Sustainable development)
ikimanisha kuwa Tuvune
rasilmali tulizonazo kwa
mpangilio maalumu
bila ya kuathiri vizazi
vijavyo katika kuweza
kutumia rasilmali hizo.
Mwengine alifika kusema
Tutumie na tuhifadhi
(Conserve and utilisation)
k i n a c h o t a k i wa k u wa
tutumie kwa uangalifu
na hapo hapo tuhakikishe
tunahifadhi, lakini wengi
wetu hawayataki hayo.
Wao huja na kukata miti
pasi kukumbuka kuwa
hio miti imekuwa kwa
kupandwa kwahio na
USAJILI
S.2401
KWA WASICHANA TU
MASOMO
USAJILI
S.4384
KWA WAVULANA TU
AN-NUUR
20
MAKALA
20
AN-NUUR
Kesi
kifo cha marehemu
JAMAADIULya
AWWAL 1436, IJUMAA FEBRUARI 27-MACHI 5, 2015
Sheikh Haruna Iddi Mlala
itasikilizwa tarehe 26/27
Februari, 2015 katika
Mahakama Kuu Kamanga,
Mwanza.
I M E E L E Z WA k u w a
Ta n z a n i a h a k u n a
ugaidi, bali kilichopo
ni taswira ya ugaidi
inayotengenezwa kwa
lengo la kuwadhibiti
Masheikh ili waache
kupinga dhulma dhidi
ya Waislamu na kudai
haki zao Serikali.
Hayo yamebainishwa
na Ustadhi Hussein Ismail,
akiongea na Waislamu
Jumapili ya wiki iliyopita
katika Kongamano la
Waislamu lililofanyika
Masjid Tungi, Temeke
Jijini Dar es Salaam.
Ust. Ismail, akiwasilisha
mada yake ya Propaganda
ya Ugaidi, ndani na nje
ya Tanzania, alisema
kiuhalisia ni kwamba
Tanzania hakuna magaidi,
h a i j a s h a m b u l i wa n a
magaidi na wala ugaidi
haujaingia nchini,
bali kuna sura mbili
zinazolazimisha ionekana
kuna tatizo hilo.
Waislamu, Tanzania
hakuna ugaidi isipokuwa
kwanza ni utaratibu au ni
taswira inayotengenezwa
i l i m a l e n g o ya wa l e
wanaokusudiwa ambao ni
viongozi wa kutetea haki
wadhibitiwe kwa anuani
ya ugaidi. Alisema, Ust.
Ismail.
Alisema, taswira ya
pili ya Ugaidi ni Taifa
kujipendekeza ili ionekane
na wao wanashughulika
kupambana na Ugaidi
kutokana na sheria
waliyoikubali ya ugaidi
ya mwaka 2002, ili vinara
wa kupambana na ugaidi
Duniani wasikie kwamba
na Tanzania wapo katika
juhudi hizo, hivyo
wa h a n g a wa n a k u wa
ni Waislamu, kutokana
na dhana kuwa gaidi ni
Muislamu.
Pamoja na Waislamu
kukabiliwa na hali hiyo,
akasema vyovyote
itakavyokuwa, Waislamu
wataendelea kudai kile
wanachojua kuwa ni haki
vinatengenezwa vyenye
s u r a ya U i s l a m u n a
vinara wanaotangaza
kupambana na Magaidi,
lakini miongoni mwa
m a k u n d i h a y o wa p o
walioaminishwa kuwa
wanashiriki katika jihadi.
Alisema, watengeneza
vikundi hivyo hucheza
na mazingira ya mahali
husika mathalani,
akasema Tanzania kwa
sasa huwezi kuleta fitna
za makabila haikubaliki,
lakini kwa muda huu fitna
ya vita baina ya Waislamu
na Wakristo ni rahisi kwa
sababu kuna mwanya
wa watu kuyafitinisha
makundi haya mawili ya
kidini nchini.
Akitolea mfano wa
kundi la IS (Islamic State)
alisema, utabaini kuwa hili
ni kundi la kutengenezwa
kwa maslahi maalum na
watenganezaji ni hao hao
wanaodai kupambana na
Magaidi Duniani.
Ust. Ismail, alisema
hakuna maagizo ya dini
katika Jihadi yanayosema
Gazeti hili hutolewa na Islamic Propagation Centre S.L.P. 55105 na kupigwa chapa na POA Printing Works LTD, S.L.P. 4605, Dar es Salaam.